THIS IS MY STORY AND FAMILY ALSO ALL
ABOUT ME
Introduction
My name is
…………………………………………………………………. Joseph Dinya Siasa
My father name
is………………………………………………………. Haruna Seif Dinya
Siasa
My mother name is …………………………………………………….. Jestina Mgejji
Elias
My young name is ………………………………………………………. Given Elias
My father is came from ………………………………………………….Singida(Kondoa)
My mother is came from ………………………………………………..Iringa
(Wanging’ombe)
Religion of Father ………………………………………………………….. Islamic
Religion of Mother ………………………………………………………… Christian
Dhehebu ……………………………………………………………………….. Lutheran
And I I think u know where I came from underline answer
Intro my Self
Continental …………………………………………………………………… African
My Birth of date…………………………………………………….. 14/05/1988
Weight …………………………………………………………………… kg65
In a hospital of national…………………………………………. Muhimbili
Nationality……………………………………………………………. Tanzanian
Religion ………………………………………………………………… Christian
Dhehebu ……………………………………………………………….. Roman Catholic
My favourite
I like
Food……………………………………………………………………… Wali and Maharage
Drink……………………………………………………………………. Water, Softdrink
Movie………………………………………………………………….. Romeo must die by Jet lee
and Bridge of Dragon by Dolf Lundgren
Actor…………………………………………………………………… Donnie Yen and Jet Lee
Actres ………………………………………………………………… Aaliayah and Angelina Jolie
Watching …………………………………………………………… Television
Listenin……………………………………………………………….. Music
Musician…………………………………………………………….. Hip Hop, R&B, Pop,
African Music
Singer man………………………………………………………… Marc Anthony
Singer woman ……………………………………………………. Stara Thomas
Best rapper man………………………………………………… Jay Z and Joh Makini
Best rapper woman…………………………………………… EVE
Best r&b man …………………………………………………… Morgan Heritage
Best r&b woman…………………………………………………………….. Mary J Blige
Song …………………………………………………………………… She mends me, Nipo kwa ajili
yako
Book …………………………………………………………………… All about me
Games Playstation ……………………………………………… Soccer
Playing ………………………………………………………………... Football
Phone ………………………………………………………………….. Nokia
Wear …………………………………………………………………… T-shart and Jeans
My friend for all their name are ………………….......... Kennedy,
Chipande, Immanuel Linngowe, Immanuel Savimbi, Silas Semkuyu, Abuu, Yohana,
Bosco, Joseph Mengele, Elisha Mengele, Ali Hamed, Salim Hamed, Said Hamed, Eddy
mazanda, Dotto Mazanda, Kulwa Mazanda, Siya Michael, Queen Joseph, Loise
Donald, Singi, Shamis, Hamad, Evod, Willy, Faidha, Nicolaus, Ladislaus,Josephine
r Assenga, Joseph r Asenga, Light r Assenga, Godfrey r Assenga, Lucas, Mbulu,
Sawid, Edward, Nestory, Beka, Msafiri, Richard Abogast, Monica, Monica Lewisc, Neema
William Shauri, Boaz William Shauri, Michael William Shauri, Mmanda, Mashakii, Yusuph
Maneno, Rahim Msambili, Zuber, Nyuto, Regan, Lucy Iyeyeu, Jimmy Gervas, Gasper,
Mama Shabani, Mama Assenga, Baba Assenga, Juma Mtawila, Mawazo Mtawila, Andrew
Anatori Amandi, Bahati Mlawa, Cliff, Frank Silayo, Todi, Abdalah, Alpha,
Elyzeira, Stanley, Maganga, Sendisha, Benito Elias,Gerrard, Mama Nduu, Rahma, Aloyce,
Pius, Eli Mbega, Richard Mshiu, Aron Mshiu, Mzee Mshiu, Pendo Sumari, Luckness
Sumari, Sada, Mwamvua, Esta, Feristar, Costar, Chogo, Bigina,Super Kizozo,
Fikiri Magoso, Fikiri Nchimbi, John Nchimbi, Kulwa Nchimbi Omar Mputa, Khadija
Mputa, Abedi, Majuto, Zahara, Bonny, Masanka, Malik Juma , Juma, Ramadhan, Zawadi,
Elizebeth, Elizebeth Saba, Michael Gideo, Lucy Gideo, Fatma, Mariam, Hawa,
Rabani, Gideon, Asia, Asha Kibinda, Alifu, Bakari, Evansi, Maua, Hatibu,
Mohamed, Jiwe
Chapter 1
It was in 1999 nilikuwa nikiishi mimi na mama yangu Kipindi
hicho nilikuwa na umri wa miaka kumi na moja, tulikuwa tukiishi Dar es Salaam
katika Wilaya ya Ilala Mchikichini Quarter Mtaa wa Gonga, Tulikuwa tukiishi kwa
amani sana kati yetu, yaani mimi, mama na mama mdogo Lucy.
Tulikuwa tumepanga katika nyumba ya Mzee Ngamba ambaye ndiye
alikuwa baba mwenye nyumba wetu. Mwaka 1996 nilianza shule ya chekechea ya
Vidudu pale Pentekoste ilikuwa shule ya Kanisani. Nilikuwa nikisoma na marafiki
zangu wakiume na wakike napenda kuwataja kwa majina kwa wote, Emanuel Lingowe,
Jaja, Richard Abogast, Mwarami, Sarah, Zahara n.k chekechea nilisoma vizuri tu sana, yaani
ilikuwa full kujiachia ikifika mapumziko tulikuwa tunapewa Chai ya maziwa na
Mkate, Uji wa maziwa, Machungwa it was so funny I like it, and I know it never
happen again, kwani ilikuwa poa unajua tulizoeana sana, darasani mimi na
marafiki wenzangu ilipendeza sana. Lakini ilikuja kuwa mbaya pale pindi ambapo
tunamaliza Chekechea yetu, kwani kila mtu anaanza darasa la kwanza, lakini
haikuwa mbaya sana kawaida. Mwaka 1997 nilianza darasa la Kwanza katika shule
ya Msingi Boma Ilala, basi tulivyoanza tena kama kawaida tena nikakutana na
marafiki wapya, ilikuwa nzuri tu. Kwani nilkutana tena na marafiki wengine
ambao tulisoma wote Chekechea. Loooooh! Nilifurahi sana ilikuwa so amaizing
fantastic yenye kuvutia, ilipendeza sana basi tulianza kusoma vizuri tu. Darasa
la kwanza tukamaliza, tukaingia la Pili darasa letu lilikuwa mkondo (D). Darasa
la Tatu nilikuwa ninakaa na mama cha kwanza kabisa naweza kusema kwamba siku
zote mtoto akui kwa Mama kwa hilo nadhani kila mtu analitambua, kiu kweli
kwamba Baba na Mama hawa kukaa katika nyumba moja. Baba alikuwa akiishi maeneo
hayo hayo sio mbali sana na kwa Mama penyewe panaitwa Korowezi ni sawasawa na
nyumba kumi na tano kwa ukaribu walipo.Subiri usiwe na haraka nitakwambia yote
usiwe na haraka. Eeheeeee! Kweli hawakuishi pamoja lakini sikujua kiundani
kwanini hawa kuishi pamoja .Sikuwa na akili ya kuwauliza kwa ninni awakuishi
pamoja? Basi nilikuwa ni kiishi hivyo kama shifting Cultvation(yaani, kilimo
cha kuhama hama. Kwa Baba nilikuwa nikikaa labda wiki moja na kwa Mama nae
vivyo hivyo lakini sana sana kila mmoja hakini miss basi huwa nakuja
kuchukuliwa zikifika hizo siku. Lakini nilikuwa nikimpenda sana Mama kwani
alikuwa akinipenda sana mwanae, Alinidekeza sana kila ambacho nilikuwa
nikikitaka alikuwa mstari wa mbele kunipatia. Sasa tuelekee kwa Baba yeye
alikuwa hapendi mimi nideke yeye alikuwa kama mwanajeshi vile hakutaka uzembe
uzembe alipenda niwe shap shap kwani nilikuwa nimepoa poa sana. Alikuwa
ananipiga nikikosea kwa yale maagizo yake ambayo alikuwa akinipa Loooooooooooh!
Alikuwa so strong kama Stone lakini ndio alikuwa baba yangu nae , nilimpenda
sana. Ingawa alikuwa ananifundisha na kuniweka sawa kuwa kama yeye,
Labda naweza kujua japo kidogo lakini nahisi kimtazamo wangu
jinsi ilivyokuwa. Mnamo mwaka 1993 nilikuwa na miaka 5. Ilikuwa Iringa kipindi
hicho mama alikua huko ndipo Baba alipokuja kunichukua mimi kutoka Iringa
kwenda Dar es Salaam, nahisi Baba baada ya kumpa Mama ujauzito. Akakaa sana Dar
es Salaam sana .Sijui alijisahau kidogo Lakini alipokumbuka ndipo nilikua nina
miaka 5 ndipo akaja kunichukua alivyo kuja alikutana na Babu yaani, ni Baba
yake Mama anaitwa Elias Mgejji. Baada ya kukutana wote ndipo akataka kunichukua
yote hayo ni kwaajili kwamba alivyoenda alimkuta mama akiwa na Ujauzito
mwingine, ambao sio wake ndipo Baba akaamua kutaka kunichukua. Lakini
walibishana sana , Baba yeye alitaka kutoa hela ili anichukue. Familia ya
Mgejji iligoma goma lakini wakakubaliana vivyo hivyo wengine walikubali kwa
shingo upande mimi kutoka, Lakini liltolewa sharti kuwa waje wote pamoja na
Mama ili apaone tutakapoishi. Basi baada ya Mama kupaona ikabidi arudi tena
Iringa kwani teyari Alishapajua ninapoishi.Basi Mama akajifungua Mtoto mwingine
ambaye ni mdogo wangu kwa jina anaitwa Given, Basi baada ya kuzaliwa mdogo
wangu huko Iringa kwani alishafikisha umri wa miaka 4 ndipo nao wakaamua
kufunga safari yeye na mdogo wangu na Mama Mdogo Lucy, Ilikuja kukaa karibu na
mimi and then na kutafuta. Tukianza na Mama Mdogo Lucy yeye kwanza alishawahi
kuja Dar es Salaam na alikuwa akifanya kazi Keko Magulumbasi nafikiri zilikuwa
kazi za ndani, Basi walivyofika ndipo Mama nae akatafuta kazi nae akapata ndipo
akapata fedha ndipo akapanga chumba huku akishirikiana na Mdogo wake kipindi
hicho mimi bado nipo kwa Baba. Baada ya kukutana mama na baba ndipo wakaamua
zamu ya mimi kukaa huku siku ngapi na huku siku ngapi. Basi ndipo tukaendelea
kuishi hivyo hivyo, Baba alikuwa akiishi na Mwanamke mwingine ambaye mimi ndio
alikuwa Mama wa kambo maana yake Mama wa kufikia. Uyo mama wa kufikia nae
alikuwa na mumewe lakini waliachana lakini sikuweza kujua kwanini waliachana na
uyo mumewe mpaka, Baba yangu akampata akawa anaishi nae yote maisha hayo
huwezijua. Mama wa Kufikia alikuwa ana Watoto wa wili tu wakiume ambaye jina
lake ni Baraza na Wakike ambaye jina lake ni Jesca. Asili ya Yule mama wa
kufikia ni Mmalawi ndiye ambaye nilikuwa nikiishi nae pamoja na wanae pamoja na
Baba katika nyumba moja. Tunakula pamoja tulieshimihana kidogo ingawa siku
mkubwa kiivyo kwani bado nilikuwa kinda tu bado huo ulikuwa ni mwaka 2000. Ila
Uyo mama wa kufikia na Yule mumewe ambaye waliachana walikuwa wanakaa jirani tu
kama nyumba tatu tu. Basi ilivyofika zamu ya kwenda kwa mama nilifurahi sana
basi nikaenda kwa Mama yangu kipenzi changu kwani nilimpenda sana
Naitwa Ester Athanas umri wangu
miaka 23 mdongo wake Joseph
Siasa mama yake Joseph mdogo mama yangu
mkubwa yaani hawa baba yao ni mmoja ila mama
tofauti baba yaoaliitwa
Elias Mgeji ambae
sisi ni babu yetu mimi
niliishi Dar-es-salaam
lakini nilikuwa sifaham kama
nina kaka anayeitwa Joseph lakini
siku moja mama
alinipigia simu kuwa
kuna kaka yangu ameenda kijiji
[wanging’ombe] mkoani Iringa
kusalimia ikabidi mama
ammpe no. ya simu
iliatakaporudi anitafute na mimi
nikapewa no. ya
simu ya kaka lakini
sikuchukua muda mimi
nikaenda kijiji ila
tukapishana siku aliyoondoka
ndiyo siku niliyofika basi
tulitafutana Dar-es-salaam kwa
mara ya kwanza kutafutana
tulipigiana simu tukakutana
Ilala boma nikaenda anapoishi
nikapajua nilifurahi sana tokea
hapo tukawa tupo
pamoja shida, raha
tuko pamoja so Joseph
and Ester [peace & Love].
Ester ni binti
mnzuri sana aliyelelewa katika
maadili ya kiafrika
anayependa kila mtu ndugu;jamaa;rafiki ;maskini;tajiri ;watoto
;wakubwa lakini nina mdongo
wangu kipezi anayeitwa Emmanuel
aliyezaliwa mwaka 2005 ila ndoto
za ESTER kuwa mtu maharufu sana katika nchi
kubwa zaidi napenda
kuwasaidia yatima na kuwa
mfanyabiashara maarufu hivyo mungu
atanisaidia ndoto zangu zitatimia .MATEGEMEO Kuolewa kwa ndoa na kuzaa
watoto wazuri watakao lelewa katika
maadili ya kiafrika napenda
watoto wapendwe sana
baba yao ni
rahisi kupendwa hata mimi na
baba yao Mungu nibariki nizae [handsome&beautiful]. 9
No comments:
Post a Comment